John 13:19
“Ninawaambia mambo haya kabla hayajatukia, ili yatakapotukia mpate kuamini ya kuwa Mimi ndiye.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Now I tell you before it come, that, when it is come to pass, ye may believe that I am he.
In Context
Cross References
Isaiah 41:23tuambieni ni nini kitakachotokea baadaye, 2 ili tupate kujua kuwa ninyi ni miungu. 1 Fanyeni jambo lolote zuri au baya, 2 ili tupate kutishika na kujazwa na hofu. 1
Isaiah 48:5Kwa hiyo nilikuambia mambo haya tangu zamani, 2 kabla hayajatokea nilikutangazia 1 ili usije ukasema, 2 ‘Sanamu zangu zilifanya hayo; 2 kinyago changu cha mti na mungu wangu wa chuma aliyaamuru.’ 1
Matthew 11:3ili wakamuulize, “Wewe ndiye yule aliyekuwa aje, au tumngojee mwingine?”
Luke 21:13Hii itawapa nafasi ya kushuhudia.
John 8:23Akawaambia, “Ninyi mmetoka chini, mimi nimetoka juu. Ninyi ni wa ulimwengu huu, mimi si wa ulimwengu huu.
John 14:29Nimewaambia mambo haya kabla hayajatukia, ili yatakapotukia mpate kuamini.