John 13:22
Wanafunzi wake wakatazamana bila kujua kuwa alikuwa anamsema nani.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Then the disciples looked one on another, doubting of whom he spake.
In Context
23Mmoja wa wanafunzi wake ambaye Yesu alimpenda sana, alikuwa ameegama kifuani mwa Yesu.
Cross References
Genesis 42:1Wakati Yakobo alipofahamu kuwa kuna nafaka huko Misri, akawaambia wanawe, “Mbona mnakaa tu hapa mnatazamana?”
Mark 14:19Wakaanza kuhuzunika na kumuuliza mmoja baada ya mwingine, “Je, ni mimi Bwana?”