John 13:30
Mara tu baada ya kupokea ule mkate, Yuda akatoka nje. Wakati huo ulikuwa ni usiku. 1 Yesu Atabiri Petro Kumkana (Mathayo 26:31-35; Marko 14:27-31; Luka 22:31-34)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
He then having received the sop went immediately out: and it was night.
In Context
Cross References
Proverbs 4:16Kwa kuwa hawawezi kulala mpaka watende uovu; 2 wanashindwa hata kusinzia mpaka wamwangushe mtu. 1
Luke 22:53Siku kwa siku nilikuwa pamoja nanyi Hekaluni lakini hamkunikamata. Lakini hii ni saa yenu, wakati giza linatawala!” 1 Petro Amkana Yesu (Mathayo 26:57-75; Marko 14:53-72; Yohana 18:12-27)