John 14:1
Yesu akawaambia, “Msifadhaike mioyoni mwenu, mnamwamini Mungu, niaminini na mimi pia.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Let not your heart be troubled: ye believe in God, believe also in me.
In Context
2Nyumbani kwa Baba yangu kuna makao mengi. Kama sivyo, ningeliwaambia. Naenda kuwaandalia makao.
Cross References
Job 23:15Hiyo ndiyo sababu ninaingiwa na hofu mbele zake; 2 nifikiriapo haya yote ninamwogopa. 1
Psalms 42:8Mchana Bwana huelekeza upendo wake, 2 usiku wimbo wake uko nami: 2 maombi kwa Mungu wa uzima wangu. 1
Psalms 77:2Nilipokuwa katika taabu, nilimtafuta Bwana, 2 usiku nilinyoosha mikono bila kuchoka 2 na nafsi yangu ilikataa kufarijika. 1
Isaiah 12:2Hakika Mungu ni wokovu wangu; 2 nitamtumaini wala sitaogopa. 1 Bwana, Bwana, ni nguvu zangu na wimbo wangu; 2 amekuwa wokovu wangu.” 1
Isaiah 43:1Lakini sasa hili ndilo asemalo Bwana, 2 yeye aliyekuumba, ee Yakobo, 2 yeye aliyekuhuluku, ee Israeli: 1 “Usiogope kwa maana nimekukomboa, 2 nimekuita wewe kwa jina lako, wewe u wangu. 1
Lamentations 3:17Amani yangu imeondolewa, 2 nimesahau kufanikiwa ni nini. 1