The Bible Software
bible.softwareJohnJohn 15 › John 15:18

John 15:18

“Kama ulimwengu ukiwachukia ninyi, kumbukeni kwamba ulinichukia mimi kabla yenu.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

If the world hate you, ye know that it hated me before it hated you.

In Context

17Amri yangu ndiyo hii: Mpendane. 1 Ulimwengu Wawachukia Wanafunzi

19Kama mngekuwa wa ulimwengu, ulimwengu ungeliwapenda kama vile unavyowapenda walio wake. Kwa sababu ninyi si wa ulimwengu, lakini mimi nimewachagua kutoka ulimwengu, hii ndiyo sababu ulimwengu unawachukia.

Read all of John 15

Cross References

1 Kings 22:8Mfalme wa Israeli akamjibu Yehoshafati, “Bado yupo mtu mmoja ambaye kupitia yeye twaweza kumuuliza shauri la Bwana, lakini namchukia kwa sababu huwa hatabiri jambo lolote jema kunihusu mimi, lakini kila mara hunitabiria mabaya tu. Yeye ni Mikaya mwana wa Imla.” Yehoshafati akajibu, “Mfalme hapaswi kusema hivyo.”

Isaiah 53:3Alidharauliwa na kukataliwa na wanadamu, 2 mtu wa huzuni nyingi, ajuaye mateso. 1 Kama mtu ambaye watu humficha nyuso zao, 2 alidharauliwa, wala hatukumhesabu kuwa kitu. 1

Matthew 5:11“Heri ninyi watu watakapowashutumu, na kuwatesa na kunena dhidi yenu mabaya ya aina zote kwa uongo kwa ajili yangu.

Matthew 24:9“Ndipo mtasalitiwa, ili mteswe na kuuawa, nanyi mtachukiwa na mataifa yote kwa ajili yangu.

Luke 6:22Mmebarikiwa ninyi, watu watakapowachukia, 2 watakapowatenga na kuwatukana 1 na kulikataa jina lenu kama neno ovu, 2 kwa ajili ya Mwana wa Adamu.

John 7:7Ulimwengu hauwezi kuwachukia ninyi, lakini unanichukia mimi kwa sababu ninawashuhudia kwamba matendo yao ni maovu.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study John 15:18

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← John 15:17John 15John 15:19 →