John 15:7
Ninyi mkikaa ndani yangu na maneno yangu yakikaa ndani yenu, ombeni lolote mtakalo, nanyi mtatendewa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
8Kwa hiyo Baba yangu hutukuzwa, kwa vile mzaavyo matunda mengi, nanyi mtakuwa wanafunzi wangu.
Cross References
Job 22:26Hakika ndipo utakapojifurahisha kwa Mwenyezi, 2 nawe utamwinulia Mungu uso wako. 1
Psalms 37:4Jifurahishe katika Bwana 2 naye atakupa haja za moyo wako. 1
Proverbs 4:4baba alinifundisha akisema, 2 “Yashike maneno yangu yote kwa moyo wako wote; 2 yashike maagizo yangu na wewe utaishi. 1
Isaiah 58:8Ndipo nuru yako itajitokeza kama mapambazuko 2 na uponyaji wako utatokea upesi; 1 ndipo haki yako itakapokutangulia mbele yako, 2 na utukufu wa Bwana utakuwa mlinzi nyuma yako. 1
Matthew 7:7“Ombeni nanyi mtapewa; tafuteni nanyi mtapata; bisheni nanyi mtafunguliwa mlango.
John 14:13Nanyi mkiomba lolote kwa Jina langu, hilo nitalifanya, ili Baba apate kutukuzwa katika Mwana.