John 16:11
kwa habari ya hukumu, kwa sababu yule mkuu wa ulimwengu huu amekwisha kuhukumiwa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Of judgment, because the prince of this world is judged.
In Context
10kwa habari ya haki, kwa sababu ninakwenda kwa Baba, nanyi hamtaniona tena,
12“Bado ninayo mambo mengi ya kuwaambia, lakini hamwezi kuyastahimili sasa.
Cross References
Genesis 3:15Nami nitaweka uadui 2 kati yako na huyo mwanamke, 2 na kati ya uzao wako na wake, 1 yeye atakuponda kichwa, 2 nawe utamuuma kisigino.”
Isaiah 49:24Je, nyara zaweza kuchukuliwa kutoka kwa mashujaa wa vita, 2 au mateka kuokolewa kutoka kwa watu wakali?
Matthew 12:36Lakini nawaambia, katika siku ya hukumu watu watatoa hesabu kuhusu kila neno lisilo maana walilonena.
John 5:22Wala Baba hamhukumu mtu yeyote, lakini hukumu yote amempa Mwana,
John 14:30Sitasema nanyi zaidi, kwa sababu yule mkuu wa ulimwengu huu anakuja, naye hana kitu kwangu,
Acts 17:30Zamani wakati wa ujinga, Mungu alijifanya kama haoni, lakini sasa anawaamuru watu wote kila mahali watubu.