John 17:11
Mimi sasa simo tena ulimwenguni, lakini wao bado wamo ulimwenguni, nami naja kwako. Baba Mtakatifu, uwalinde kwa uweza wa jina lako ulilonipa, ili wawe na umoja kama sisi tulivyo wamoja.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
10Wote walio wangu ni wako na walio wako ni wangu, nami nimetukuzwa ndani yao.
Cross References
Psalms 17:8Nilinde kama mboni ya jicho lako, 2 unifiche chini ya kivuli cha mbawa zako 1
Proverbs 18:10Jina la Bwana ni ngome imara, 2 wenye haki huikimbilia na kuwa salama. 1
Isaiah 64:2Kama vile moto uteketezavyo vijiti 2 na kusababisha maji kuchemka, 1 shuka ukafanye jina lako lijulikane kwa adui zako, 2 na kusababisha mataifa yatetemeke mbele zako! 1
Jeremiah 14:21Kwa ajili ya jina lako usituchukie kabisa; 2 usikidharau kiti chako cha enzi kilichotukuka. 1 Kumbuka agano lako nasi 2 na usilivunje. 1
Ezekiel 20:22Lakini nikauzuia mkono wangu na kwa ajili ya Jina langu nikafanya kile ambacho kingelifanya Jina langu lisitiwe unajisi machoni mwa mataifa ambao mbele yao nilikuwa nimewatoa Waisraeli.
Matthew 5:48Kwa hiyo kuweni wakamilifu kama Baba yenu wa mbinguni alivyo mkamilifu.