John 17:8
kwa kuwa maneno yale ulionipa nimewapa wao, nao wameyapokea na kujua kwamba kweli nimetoka kwako, nao wameamini kuwa wewe ulinituma.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
7Sasa wamejua ya kuwa vyote ulivyonipa vimetoka kwako,
9Ninawaombea wao. Mimi siuombei ulimwengu, bali nawaombea wale ulionipa kwa sababu wao ni wako.
Cross References
Proverbs 1:3kwa kujipatia nidhamu na busara, 2 kufanya lililo sawa, haki na bila kupendelea; 1
Proverbs 2:1Mwanangu, kama utayakubali maneno yangu 2 na kuyaweka akiba maagizo yangu ndani mwako, 1
Proverbs 8:10Chagua mafundisho yangu badala ya fedha, 2 maarifa badala ya dhahabu safi, 1
John 3:17Kwa maana Mungu hakumtuma Mwanawe kuuhukumu ulimwengu, bali kupitia kwake ulimwengu upate kuokolewa.
John 6:68Simoni Petro akamjibu, “Bwana, tuondoke twende kwa nani? Wewe unayo maneno ya uzima wa milele.
John 12:49Kwa maana sisemi kwa ajili yangu mwenyewe, bali Baba aliyenituma aliniamuru ni nini cha kusema na jinsi ya kukisema.