John 18:24
Ndipo Anasi akampeleka Yesu kwa kuhani mkuu Kayafa, akiwa bado amefungwa. 1 Petro Amkana Yesu Tena (Mathayo 26:71-75; Marko 14:69-72; Luka 22:58-62)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Now Annas had sent him bound unto Caiaphas the high priest.
In Context
Cross References
Matthew 26:57Wale waliokuwa wamemkamata Yesu wakampeleka kwa Kayafa, kuhani mkuu, mahali ambapo walimu wa sheria pamoja na wazee walikuwa wamekusanyika.