The Bible Software
bible.softwareJohnJohn 18 › John 18:6

John 18:6

Yesu alipowaambia, “Mimi ndiye,” walirudi nyuma na kuanguka chini!

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

As soon then as he had said unto them, I am he, they went backward, and fell to the ground.

In Context

5Wao wakamjibu, “Yesu wa Nazareti.” Yesu akawajibu, “Mimi ndiye.” Yuda, yule aliyemsaliti alikuwa amesimama pamoja nao.

7Akawauliza tena, “Mnamtafuta nani?” Nao wakamjibu, “Yesu wa Nazareti.”

Read all of John 18

Cross References

Psalms 27:2Waovu watakaposogea dhidi yangu 2 ili wanile nyama yangu, 1 adui zangu na watesi wangu watakaponishambulia, 2 watajikwaa na kuanguka. 1

Psalms 70:2Wale wanaotafuta kuuondoa uhai wangu, 2 waaibishwe na kufadhaishwa; 1 wote wanaotamani kuangamizwa kwangu, 2 warudishwe nyuma kwa aibu. 1

Luke 9:54Wanafunzi wake, yaani Yakobo na Yohana, walipoona hayo, wakasema: “Bwana, unataka tuagize moto kutoka mbinguni ili uwaangamize?”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study John 18:6

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← John 18:5John 18John 18:7 →