The Bible Software
bible.softwareJohnJohn 19 › John 19:13

John 19:13

Pilato aliposikia maneno haya akamtoa Yesu nje tena akaketi katika kiti chake cha hukumu, mahali palipoitwa Sakafu ya Jiwe, kwa Kiebrania paliitwa Gabatha + 19:13 Gabatha ni neno la Kiebrania ambalo maana yake ni Sakafu ya jiwe; ni mahali pa wazi palipoinuliwa ambako palitumika kama mahakama.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

When Pilate therefore heard that saying, he brought Jesus forth, and sat down in the judgment seat in a place that is called the Pavement, but in the Hebrew, Gabbatha.

In Context

12Tangu wakati huo, Pilato akajitahidi kutafuta njia ya kumfungua Yesu, lakini Wayahudi wakazidi kupiga kelele wakisema, “Ukimwachia huyu mtu, wewe si rafiki wa Kaisari. Mtu yeyote anayedai kuwa mfalme anampinga Kaisari.”

14Basi ilikuwa siku ya Maandalio ya Pasaka, yapata kama saa sita hivi. Pilato akawaambia Wayahudi, “Huyu hapa mfalme wenu!”

Read all of John 19

Cross References

Psalms 82:5“Hawajui lolote, hawaelewi lolote. 2 Wanatembea gizani; 2 misingi yote ya dunia imetikisika. 1

Proverbs 29:25Kuwaogopa watu huwa ni mtego, 2 bali yeyote amtumainiaye Bwana atakuwa salama. 1

Isaiah 51:12“Mimi, naam mimi, 2 ndimi niwafarijie ninyi. 1 Ninyi ni nani hata kuwaogopa 2 wanadamu wanaokufa, 2 wanadamu ambao ni majani tu, 1

Amos 4:7“Pia niliwazuilia ninyi mvua miezi mitatu 2 kabla ya kufikia mavuno. 1 Nilinyesha mvua kwenye mji mmoja, 2 lakini niliizuia mvua isinyeshe mji mwingine. 1 Shamba moja lilipata mvua, 2 na lingine halikupata, nalo likakauka. 1

Luke 12:5Lakini nitawaambia nani wa kumwogopa: Mwogopeni yule ambaye baada ya kuua mwili, ana mamlaka ya kuwatupa motoni. Naam, nawaambia, mwogopeni huyo!

John 19:8Pilato aliposikia haya, akaogopa zaidi.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study John 19:13

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← John 19:12John 19John 19:14 →