John 19:18
Hapo ndipo walipomsulubisha. Pamoja naye walisulubisha watu wengine wawili, mmoja kila upande wake, naye Yesu katikati.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Where they crucified him, and two others with him, on either side one, and Jesus in the midst.
In Context
Cross References
Isaiah 53:12Kwa hiyo nitamgawia sehemu miongoni mwa wakuu, 2 naye atagawana nyara pamoja na wenye nguvu, 1 kwa sababu aliyamimina maisha yake hadi mauti, 2 naye alihesabiwa pamoja na wakosaji. 1 Kwa kuwa alichukua dhambi za wengi, 2 na kuwaombea wakosaji.
Matthew 27:44Hata wale wanyangʼanyi waliosulubiwa pamoja naye wakamtukana vivyo hivyo. 1 Kifo Cha Yesu (Marko 15:33-41; Luka 23:44-49; Yohana 19:28-30)
Luke 23:32Watu wengine wawili wahalifu, walipelekwa pamoja na Yesu ili wakasulubiwe.
Galatians 3:13Kristo alitukomboa kutoka laana ya sheria kwa kufanyika laana kwa ajili yetu, kwa maana imeandikwa, “Amelaaniwa yeye aangikwaye juu ya mti.”