John 19:21
Viongozi wa makuhani wa Wayahudi wakapinga, wakamwambia Pilato, “Usiandike ‘Mfalme wa Wayahudi,’ bali andika kwamba mtu huyu alisema yeye ni mfalme wa Wayahudi.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
22Pilato akawajibu, “Nilichokwisha kuandika, nimeandika!” 1 Mavazi Ya Yesu Yagawanywa
Cross References
John 19:14Basi ilikuwa siku ya Maandalio ya Pasaka, yapata kama saa sita hivi. Pilato akawaambia Wayahudi, “Huyu hapa mfalme wenu!”