John 19:24
Wakaambiana, “Tusilichane ila tulipigie kura ili kuamua ni nani atalichukua.” Hili lilitukia ili Maandiko yapate kutimizwa yale yaliyosema, 1 “Wanagawana nguo zangu, 2 na vazi langu wanalipigia kura.” Hayo ndiyo waliyoyafanya wale askari.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 22:18Wanagawana nguo zangu wao kwa wao, 2 na vazi langu wanalipigia kura. 1
John 10:35Kama aliwaita ‘miungu,’ wale ambao neno la Mungu liliwafikia, nayo Maandiko hayawezi kutanguka,
John 19:28Baada ya haya, Yesu hali akijua kuwa mambo yote yamemalizika, alisema ili kutimiza Maandiko, “Naona kiu.”
Acts 13:27Kwa sababu wakaao Yerusalemu na viongozi wao hawakumtambua wala kuelewa maneno ya manabii yasomwayo kila Sabato, bali waliyatimiza maneno hayo kwa kumhukumu yeye.