The Bible Software
bible.softwareJohnJohn 19 › John 19:27

John 19:27

kisha akamwambia yule mwanafunzi, “Nawe huyo hapo ndiye mama yako.” Tangu wakati huo yule mwanafunzi akamchukua mama yake Yesu nyumbani kwake. 1 Kifo Cha Yesu (Mathayo 27:45-56; Marko 15:33-41; Luka 23:44-49)

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Then saith he to the disciple, Behold thy mother! And from that hour that disciple took her unto his own home .

In Context

26Yesu alipomwona mama yake mahali pale pamoja na yule mwanafunzi aliyempenda wamesimama karibu, akamwambia mama yake, “Mwanamke, huyo hapo ndiye mwanao,”

28Baada ya haya, Yesu hali akijua kuwa mambo yote yamemalizika, alisema ili kutimiza Maandiko, “Naona kiu.”

Read all of John 19

Cross References

Genesis 47:12Pia Yosefu akampa baba yake, na ndugu zake na wote wa nyumbani mwa baba yake vyakula, kwa kulingana na hesabu ya watoto wao. 1 Uongozi Wa Yosefu Wakati Wa Njaa

Matthew 25:40“Naye Mfalme atawajibu, ‘Amin nawaambia, kwa jinsi mlivyomtendea mmojawapo wa hawa ndugu zangu walio wadogo, mlinitendea mimi.’

John 1:11Alikuja kwa walio wake, lakini wao hawakumpokea.

Acts 21:6Baada ya kuagana, tukapanda melini, nao wakarudi majumbani mwao.

1 John 3:18Watoto wapendwa, tusipende kwa maneno au kwa ulimi bali kwa tendo na kweli.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study John 19:27

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← John 19:26John 19John 19:28 →