bible.software › John › John 2 › John 2:17
John 2:17
Wanafunzi wake wakakumbuka kuwa imeandikwa: “Wivu wa nyumba yako utanila.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And his disciples remembered that it was written, The zeal of thine house hath eaten me up.
In Context
16Akawaambia wale waliokuwa wakiuza njiwa, “Waondoeni hapa! Mnathubutuje kuifanya nyumba ya Baba yangu kuwa mahali pa biashara?”
18Ndipo Wayahudi wakamuuliza, “Unaweza kutuonyesha ishara gani ili kuthibitisha mamlaka uliyo nayo ya kufanya mambo haya?”
Read all of John 2
Cross References
Psalms 119:139Jitihada yangu imenidhoofisha, kwa kuwa adui zangu 2 wanayapuuza maneno yako. 1
This Verse In Other Editions
Study John 2:17