John 2:25
Hakuhitaji ushuhuda wa mtu yeyote kuhusu mtu, kwa kuwa alijua yote yaliyokuwa moyoni mwa mtu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And needed not that any should testify of man: for he knew what was in man.
In Context
24Lakini Yesu hakujiaminisha kwao kwa sababu aliwajua wanadamu wote.
Cross References
John 6:61Yesu alipojua kwamba wafuasi wake wananungʼunika kuhusu mafundisho yake, akawaambia, “Je, jambo hili limewaudhi?
John 13:11Kwa kuwa yeye alijua ni nani ambaye angemsaliti, ndiyo sababu akasema si kila mmoja aliyekuwa safi.