bible.software › John › John 20 › John 20:11
John 20:11
Lakini Maria Magdalene akasimama nje ya kaburi akilia. Alipokuwa akilia, akainama, kuchungulia mle kaburini,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
But Mary stood without at the sepulchre weeping: and as she wept, she stooped down, and looked into the sepulchre,
In Context
10Kisha hao wanafunzi wakaondoka wakarudi nyumbani kwao. 1 Yesu Anamtokea Maria Magdalene (Mathayo 28:9-10; Marko 16:9-11)
12naye akaona malaika wawili wamevaa mavazi meupe, wameketi pale mwili wa Yesu ulipokuwa umelazwa, mmoja upande wa kichwani na mwingine upande wa miguuni.
Read all of John 20
This Verse In Other Editions
Study John 20:11