John 20:25
Hivyo wale wanafunzi wengine wakamwambia, “Tumemwona Bwana.” Lakini yeye akawaambia, “Nisipoona zile alama za misumari mikononi mwake, na kuweka kidole changu kwenye hizo alama za misumari na mkono wangu ubavuni mwake, sitaamini.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Job 9:16Hata kama ningemwita kwenye shauri, naye akakubali, 2 siamini kama angenisikiliza. 1
Psalms 78:32Licha ya haya yote, waliendelea kutenda dhambi, 2 licha ya maajabu yake, hawakuamini. 1
Psalms 106:21Walimsahau Mungu aliyewaokoa, 2 aliyekuwa ametenda mambo makuu huko Misri, 1
Matthew 27:42“Aliwaokoa wengine, lakini hawezi kujiokoa mwenyewe! Yeye ni Mfalme wa Israeli! Ashuke sasa kutoka msalabani, nasi tutamwamini.
Luke 24:25Yesu akawaambia, “Ninyi ni wajinga kiasi gani, nanyi ni wazito mioyoni mwenu kuamini mambo yote yaliyonenwa na manabii!
John 1:41Kitu cha kwanza Andrea alichofanya ni kumtafuta Simoni nduguye na kumwambia, “Tumemwona Masiya” (yaani, Kristo).