John 3:15
Ili kila mtu amwaminiye awe na uzima wa milele.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
That whosoever believeth in him should not perish, but have eternal life.
In Context
Cross References
Matthew 18:10“Angalia ili usimdharau mmojawapo wa hawa wadogo, kwa maana nawaambia, malaika wao mbinguni daima wanauona uso wa Baba yangu aliye mbinguni. [
Luke 19:10Kwa maana Mwana wa Adamu amekuja kutafuta na kuokoa kile kilichopotea.” 1 Mfano Wa Fedha (Mathayo 25:14-30)
John 3:16“Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu hata akamtoa Mwanawe wa pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele.
John 5:24“Amin, amin nawaambia, yeyote anayesikia maneno yangu na kumwamini yeye aliyenituma, anao uzima wa milele, naye hatahukumiwa, bali amepita kutoka mautini, na kuingia uzimani.
John 6:47Amin, amin nawaambia, yeye anayeamini anao uzima wa milele.
John 11:25Yesu akamwambia, “Mimi ndiye huo ufufuo na uzima. Yeye aniaminiye mimi, hata akifa atakuwa anaishi