John 3:23
Yohana naye alikuwa akibatiza huko Ainoni karibu na Salimu kwa sababu huko kulikuwa na maji tele. Watu wazima wakamjia huko ili kubatizwa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
24(Hii ilikuwa kabla Yohana hajatiwa gerezani).
Cross References
Genesis 33:18Baada ya Yakobo kutoka Padan-Aramu, alifika salama katika mji wa Shekemu huko Kanaani na kuweka kambi yake karibu na mji.
Jeremiah 51:13Wewe uishiye kando ya maji mengi 2 na uliye na wingi wa hazina, 1 mwisho wako umekuja, 2 wakati wako wa kukatiliwa mbali. 1
Ezekiel 43:2nami nikaona utukufu wa Mungu wa Israeli ukija kutoka upande wa mashariki. Sauti yake ilikuwa kama ya ngurumo ya maji yaendayo kasi, nayo nchi ikangʼaa kwa utukufu wake.
Mark 1:4Yohana alikuja, akibatiza huko nyikani, akihubiri ubatizo wa toba kwa ajili ya msamaha wa dhambi.
Revelation 1:15Nyayo zake zilikuwa kama shaba inayongʼaa, katika tanuru ya moto, nayo sauti yake ilikuwa kama mugurumo ya maji mengi.
Revelation 19:6Kisha nikasikia sauti kama ya umati mkubwa, kama sauti ya maji mengi yaendayo kasi na kama ngurumo kubwa ya radi wakipiga kelele wakisema: 1 “Haleluya! 2 Kwa maana Bwana Mungu wetu Mwenyezi anatawala. 1