John 3:29
Bibi arusi ni wa bwana arusi. Lakini rafiki yake bwana arusi anayesimama karibu naye na kusikiliza kutoka kwake, hufurahi sana aisikiapo sauti ya bwana arusi. Kwa sababu hii furaha yangu imekamilika.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
30Yeye hana budi kuwa mkuu zaidi na mimi nizidi kuwa mdogo.” 1 Yeye Aliyetoka Mbinguni
Cross References
Judges 14:10Basi baba yake akateremka kumwona huyo mwanamke. Samsoni akafanya karamu huko, kama ilivyokuwa desturi ya vijana.
Song of Solomon 3:11Tokeni nje, ninyi binti za Sayuni, 2 mkamtazame Mfalme Solomoni akiwa amevaa taji, 1 taji ambalo mama yake alimvika 2 siku ya arusi yake, 2 siku ambayo moyo wake ulishangilia.
Song of Solomon 5:1Nimekuja kwenye bustani yangu, dada yangu, 2 bibi arusi wangu; 1 nimekusanya manemane yangu pamoja 2 na kikolezo changu. 1 Nimekula sega langu la asali na asali yangu; 2 nimekunywa divai yangu na maziwa yangu. Marafiki 1 Kuleni, enyi marafiki, mnywe; 1 kunyweni ya kutosha, ee wapenzi. 1 Shairi La Nne Mpendwa 1
Isaiah 62:4Hawatakuita tena Aliyeachwa, 2 wala nchi yako kuiita Ukiwa. 1 Bali utaitwa Hefsiba, + 62:4 Hefsiba maana yake Yeye ninayemfurahia. 2 nayo nchi yako itaitwa Beula, + 62:4 Beula maana yake Aliyeolewa. 1 kwa maana Bwana atakufurahia, 2 nayo nchi yako itaolewa. 1
Jeremiah 2:2“Nenda ukahubiri masikioni mwa watu wa Yerusalemu: 1 “ ‘Nakumbuka moyo wako wa uchaji katika ujana wako, 2 jinsi ulivyonipenda kama bibi arusi 1 na kunifuata katika jangwa lile lote, 2 katika nchi isiyopandwa mbegu. 1
Hosea 2:19Nitakuposa uwe wangu milele; 2 nitakuposa kwa uadilifu na haki, 2 kwa upendo na huruma. 1