John 3:34
Yeye aliyetumwa na Mungu husema maneno ya Mungu, kwa kuwa Mungu humtoa Roho pasipo kipimo.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
33Lakini yeyote anayekubali huo ushuhuda anathibitisha kwamba, Mungu ni kweli.
35Baba anampenda Mwana, naye ametia vitu vyote mikononi mwake.
Cross References
Leviticus 7:35Hii ndiyo sehemu ya sadaka zilizotolewa kwa Bwana kwa moto, ambazo zilitengwa kwa ajili ya Aroni na wanawe siku ile walipowekwa wakfu ili kumtumikia Bwana katika kazi ya ukuhani.
2 Kings 2:9Walipokwisha kuvuka, Eliya akamwambia Elisha, “Niambie, nikufanyie nini kabla sijaondolewa kutoka kwako?” Elisha akajibu, “Naomba nirithi sehemu maradufu ya roho yako.”
Isaiah 11:2Roho wa Bwana atakaa juu yake, 2 Roho wa hekima na wa ufahamu, 2 Roho wa shauri na wa uweza, 2 Roho wa maarifa na wa kumcha Bwana 1
Isaiah 62:1Kwa ajili ya Sayuni sitanyamaza, 2 kwa ajili ya Yerusalemu sitatulia, 1 mpaka haki yake itakapoangaza kama mapambazuko, 2 wokovu wake kama mwanga wa moto. 1
Luke 4:18“Roho wa Bwana yu juu yangu, 2 kwa sababu amenitia mafuta 2 kuwahubiria maskini habari njema. 1 Amenituma kuwatangazia wafungwa 2 kufunguliwa kwao, 2 na vipofu kupata kuona tena, 1 kuwaweka huru wanaoonewa, 2
John 3:17Kwa maana Mungu hakumtuma Mwanawe kuuhukumu ulimwengu, bali kupitia kwake ulimwengu upate kuokolewa.