John 4:37
Hivyo kule kusema, ‘Mmoja hupanda na mwingine huvuna,’ ni kweli kabisa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And herein is that saying true, One soweth, and another reapeth.
In Context
Cross References
Job 31:8basi wengine na wale nilichokipanda, 2 nayo yale yote niliyootesha na yangʼolewe. 1
Luke 19:21Nilikuogopa, kwa sababu wewe ni mtu mgumu. Unachukua ambapo hukuweka kitu, na unavuna mahali ambapo hukupanda kitu.’