John 4:54
Hii ilikuwa ishara ya pili ambayo Yesu alifanya aliporudi Galilaya kutoka Uyahudi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
This is again the second miracle that Jesus did, when he was come out of Judaea into Galilee.
In Context
Cross References
John 4:45Alipofika Galilaya, Wagalilaya walimkaribisha, kwani walikuwa wameona yale aliyoyatenda huko Yerusalemu wakati wa Sikukuu ya Pasaka. Kwa maana wao pia walikuwa wamehudhuria hiyo Sikukuu.