John 5:31
“Kama ningejishuhudia mimi mwenyewe, ushuhuda wangu si kweli.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
If I bear witness of myself, my witness is not true.
In Context
32Lakini yuko mwingine anishuhudiaye na ninajua kwamba ushuhuda wake ni wa kweli.
Cross References
John 8:13Mafarisayo wakamwambia, “Ushuhuda wako haukubaliki kwa kuwa unajishuhudia mwenyewe.”
Revelation 3:14“Kwa malaika wa kanisa lililoko Laodikia andika: “Haya ndiyo maneno yake yeye aliye Amen, shahidi mwaminifu na wa kweli, mtawala wa uumbaji wote wa Mungu.