John 5:7
Yule mgonjwa akamjibu, “Bwana, mimi sina mtu wa kuniingiza bwawani maji yanapotibuliwa. Nami ninapotaka kutumbukia bwawani, mtu mwingine huingia kabla yangu.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
8Yesu akamwambia, “Inuka! Chukua mkeka wako na uende.”
Cross References
Psalms 72:12Kwa maana atamwokoa mhitaji anayemlilia, 2 aliyeonewa asiye na wa kumsaidia. 1
John 5:3Hapa palikuwa na idadi kubwa ya wasiojiweza, yaani, vipofu, viwete, na waliopooza [wakingojea maji yatibuliwe.
1 Corinthians 9:24Je, hamjui kwamba katika mashindano ya mbio wote wanaoshindana hukimbia, lakini ni mmoja wao tu apewaye tuzo? Kwa hiyo kimbieni katika mashindano kwa jinsi ambavyo mtapata tuzo.