John 6:34
Wakamwambia, “Bwana, kuanzia sasa tupatie huo mkate siku zote.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Then said they unto him, Lord, evermore give us this bread.
In Context
33Kwa maana mkate wa Mungu ni yule ashukaye kutoka mbinguni na kuupa ulimwengu uzima.”
Cross References
John 4:15Yule mwanamke akamwambia, “Bwana, tafadhali nipe maji hayo ili nisipate kiu tena na wala nisije tena hapa kuteka maji!”