John 6:37
Wale wote anipao Baba watakuja kwangu na yeyote ajaye kwangu, sitamfukuzia nje kamwe.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
36Lakini kama nilivyowaambia, mmeniona lakini bado hamwamini.
38Kwa kuwa nimeshuka kutoka mbinguni si ili kufanya mapenzi yangu, bali mapenzi yake yeye aliyenituma.
Cross References
Psalms 102:17Ataitikia maombi ya mtu mkiwa, 2 wala hatadharau hoja yao. 1
Isaiah 1:18“Njooni basi tuhojiane,” 2 asema Bwana. 1 “Ingawa dhambi zenu ni kama rangi nyekundu, 2 zitakuwa nyeupe kama theluji; 1 ingawa ni nyekundu sana kama damu, 2 zitakuwa nyeupe kama sufu. 1
Isaiah 42:3Mwanzi uliopondeka hatauvunja, 2 na utambi unaofuka moshi hatauzima. 1 Kwa uaminifu ataleta haki, 2
Matthew 11:28“Njooni kwangu, ninyi nyote mnaotaabika na kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha.
Luke 23:40Lakini yule mhalifu mwingine akamkemea mwenzake, akasema, “Je, wewe humwogopi Mungu, wakati uko kwenye adhabu iyo hiyo?
John 6:44Hakuna mtu awezaye kuja kwangu kama asipovutwa na Baba aliyenituma, nami nitamfufua siku ya mwisho.