The Bible Software
bible.softwareJohnJohn 6 › John 6:4

John 6:4

Pasaka ya Wayahudi ilikuwa imekaribia.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And the passover, a feast of the Jews, was nigh.

In Context

3Kisha Yesu akapanda mlimani akaketi huko pamoja na wanafunzi wake.

5Yesu alipotazama na kuuona ule umati mkubwa wa watu ukimjia, akamwambia Filipo, “Tutanunua wapi mikate ili watu hawa wale?”

Read all of John 6

Cross References

Leviticus 23:5Pasaka ya Bwana huanza jioni ya siku ya kumi na nne ya mwezi wa kwanza.

Deuteronomy 16:1Shikeni mwezi wa Abibu, na kuiadhimisha Pasaka ya Bwana Mungu wenu, kwa sababu katika mwezi wa Abibu, Mungu aliwatoa Misri usiku.

John 5:1Baada ya haya, kulikuwa na Sikukuu ya Wayahudi, naye Yesu akapanda kwenda Yerusalemu.

John 12:1Siku sita kabla ya Pasaka, Yesu alikwenda Bethania mahali ambako Lazaro aliyekuwa amefufuliwa na Yesu alikuwa anaishi.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study John 6:4

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← John 6:3John 6John 6:5 →