The Bible Software
bible.softwareJohnJohn 6 › John 6:56

John 6:56

Yeyote alaye mwili wangu na kunywa damu yangu, atakaa ndani yangu nami nitakaa ndani yake.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

He that eateth my flesh, and drinketh my blood, dwelleth in me, and I in him.

In Context

55Kwa maana mwili wangu ni chakula cha kweli na damu yangu ni kinywaji cha kweli.

57Kama vile Baba aliye hai alivyonituma mimi, na kama nami ninavyoishi kwa sababu ya Baba, hivyo anilaye mimi ataishi kwa sababu yangu.

Read all of John 6

Cross References

Psalms 91:1Yeye akaaye mahali pa salama pake Yeye Aliye Juu Sana, 2 atadumu katika uvuli wake Mwenyezi. + 91:1 Mwenyezi hapa ina maana ya Shaddai kwa Kiebrania. 1

Lamentations 3:24Nimeiambia nafsi yangu, “ Bwana ni fungu langu, 2 kwa hiyo nitamngojea.” 1

John 14:23Yesu akamjibu, “Mtu yeyote akinipenda atalishika neno langu na Baba yangu atampenda, nasi tutakuja kwake na kufanya makao yetu kwake.

John 17:21ili wawe na umoja kama vile wewe Baba ulivyo ndani yangu na mimi nilivyo ndani yako, wao nao wawe ndani yetu, ili ulimwengu upate kuamini ya kuwa wewe ndiye uliyenituma mimi.

Ephesians 3:17ili kwamba, Kristo apate kukaa mioyoni mwenu kwa njia ya imani. Nami ninaomba kwamba ninyi mkiwa wenye mizizi tena imara katika msingi wa upendo,

1 John 4:12Hakuna mtu yeyote aliyemwona Mungu wakati wowote. Lakini tukipendana, Mungu anakaa ndani yetu, na pendo lake limekamilika ndani yetu.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study John 6:56

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← John 6:55John 6John 6:57 →