bible.software › John › John 6 › John 6:58
John 6:58
Huu ndio mkate ushukao kutoka mbinguni, si kama ule mkate baba zenu waliokula nao wakafa. Lakini yeye aulaye mkate huu ataishi milele.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
This is that bread which came down from heaven: not as your fathers did eat manna, and are dead: he that eateth of this bread shall live for ever.
In Context
57Kama vile Baba aliye hai alivyonituma mimi, na kama nami ninavyoishi kwa sababu ya Baba, hivyo anilaye mimi ataishi kwa sababu yangu.
59Yesu alisema maneno haya alipokuwa akifundisha katika sinagogi huko Kapernaumu. 1 Wafuasi Wengi Wamwacha Yesu
Read all of John 6
Cross References
John 6:31Baba zetu walikula mana jangwani, kama ilivyoandikwa, ‘Aliwapa mikate kutoka mbinguni ili wale.’ ”
John 6:47Amin, amin nawaambia, yeye anayeamini anao uzima wa milele.
This Verse In Other Editions
Study John 6:58