John 7:27
Tunafahamu huyu mtu anakotoka, lakini Kristo atakapokuja, hakuna yeyote atakayejua atokako.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Howbeit we know this man whence he is: but when Christ cometh, no man knoweth whence he is.
In Context
Cross References
Isaiah 53:8Kwa kuonewa na kuhukumiwa aliondolewa. 2 Nani awezaye kueleza kuhusu kizazi chake? 1 Kwa maana alikatiliwa mbali na nchi ya walio hai, 2 alipigwa kwa ajili ya makosa ya watu wangu. 1
Jeremiah 30:21Mmoja wao atakuwa kiongozi wao; 2 mtawala wao atainuka miongoni mwao. 1 Nitamleta karibu nami, 2 naye atanikaribia mimi, 1 kwa maana ni nani yule atakayejitolea 2 kuwa karibu nami?’ 4 asema Bwana. 1
Matthew 2:5Nao wakamwambia, “Katika Bethlehemu ya Uyahudi, kwa maana hivyo ndivyo ilivyoandikwa na nabii: 1
Mark 6:3Huyu si yule seremala, mwana wa Maria? Na ndugu zake si Yakobo, Yose, + 6:3 Yosefu kwa Kiyunani ni Joses. Yuda na Simoni? Dada zake wote si tuko nao hapa kwetu?” Nao wakachukizwa sana kwa ajili yake, wakakataa kumwamini.
John 6:42Wakasema, “Huyu si Yesu, mwana wa Yosefu, ambaye baba yake na mama yake tunawajua? Anawezaje basi sasa kusema, ‘Nimeshuka kutoka mbinguni’?”
John 7:41Wengine wakasema, “Huyu ndiye Kristo!” Lakini wengine wakauliza, “Je, Kristo kwao ni Galilaya?