John 7:40
Waliposikia maneno hayo, baadhi ya watu miongoni mwa ule umati wakasema, “Hakika huyu ndiye yule Nabii.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Many of the people therefore, when they heard this saying, said, Of a truth this is the Prophet.
In Context
41Wengine wakasema, “Huyu ndiye Kristo!” Lakini wengine wakauliza, “Je, Kristo kwao ni Galilaya?
Cross References
Matthew 21:11Ule umati wa watu ukajibu, “Huyu ni Yesu, yule nabii kutoka Nazareti katika Galilaya.” 1 Yesu Atakasa Hekalu (Marko 11:15-19; Luka 19:45-48; Yohana 2:13-22)
John 6:14Baada ya watu kuona muujiza ule Yesu aliofanya, walianza kusema, “Hakika huyu ndiye Nabii ajaye ulimwenguni!”