John 7:47
Mafarisayo wakajibu, “Je, nanyi pia mmedanganyika?
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Then answered them the Pharisees, Are ye also deceived?
In Context
46Wale walinzi wakajibu, “Kamwe hajanena mtu yeyote kama yeye anenavyo.”
48Je, kuna kiongozi yeyote au mmoja wa Mafarisayo ambaye amemwamini?
Cross References
2 Kings 18:29Hili ndilo asemalo mfalme: Msikubali Hezekia awadanganye. Hawezi kuwaokoa mkononi mwangu.
2 Chronicles 32:15Sasa basi, msikubali Hezekia awadanganye na kuwapotosha namna hii. Msimwamini, kwa kuwa hakuna mungu wa taifa lolote wala wa ufalme wowote aliyeweza kuwaokoa watu wake kutoka mkononi mwangu au mkononi mwa baba zangu. Sembuse huyo mungu wenu atawaokoaje kutoka mkononi mwangu!”
John 7:12Kulikuwa na minongʼono iliyoenea kumhusu Yesu katika umati wa watu, wakati wengine wakisema, “Ni mtu mwema.” Wengine walikuwa wakisema, “La, yeye anawadanganya watu.”
2 Corinthians 6:8katika utukufu na katika kudharauliwa; katika sifa mbaya na katika sifa nzuri; tukiwa kama wadanganyaji, lakini tukiwa wakweli;