bible.software › John › John 8 › John 8:10
John 8:10
Yesu akainuka na kumwambia, “Wako wapi wale waliokuwa wanakuhukumu kuwa mwenye hatia?”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
When Jesus had lifted up himself, and saw none but the woman, he said unto her, Woman, where are those thine accusers? hath no man condemned thee?
In Context
9Waliposikia haya, wakaanza kuondoka mmoja mmoja, wakianzia wazee, hadi Yesu akabaki peke yake na yule mwanamke akiwa amesimama mbele yake.
11Yule mwanamke akajibu, “Hakuna hata mmoja Bwana.” Yesu akamwambia, “Hata mimi sikuhukumu. Nenda zako, kuanzia sasa usitende dhambi tena.”] 1 Yesu Nuru Ya Ulimwengu
Read all of John 8
Cross References
Isaiah 41:11“Wote walioona hasira dhidi yako 2 hakika wataaibika na kutahayarika, 1 wale wakupingao 2 watakuwa kama vile si kitu, na kuangamia. 1
This Verse In Other Editions
Study John 8:10