The Bible Software
bible.softwareJohnJohn 8 › John 8:21

John 8:21

Yesu akawaambia tena, “Ninaenda zangu, nanyi mtanitafuta, lakini mtakufa katika dhambi zenu. Niendako mimi ninyi hamwezi kuja.”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Then said Jesus again unto them, I go my way, and ye shall seek me, and shall die in your sins: whither I go, ye cannot come.

In Context

20Yesu alisema maneno haya alipokuwa akifundisha katika chumba cha hazina Hekaluni. Lakini hakuna mtu aliyemkamata kwa kuwa saa yake ilikuwa haijawadia. 1 Yesu Atabiri Kifo Chake Mwenyewe

22Ndipo wale Wayahudi wakasema, “Je, atajiua? Je, hii ndiyo sababu amesema, ‘Niendako mimi ninyi hamwezi kuja’?”

Read all of John 8

Cross References

1 Kings 18:10Hakika kama Bwana Mungu wako aishivyo, hakuna taifa hata moja au ufalme ambapo bwana wangu hajamtuma mtu kukutafuta. Kila wakati taifa au ufalme walipodai kwamba haupo huko, aliwafanya waape kwamba hawakuweza kukupata.

Job 20:11Nguvu za ujana zilizoijaza mifupa yake, 2 zitalala naye mavumbini. 1

Proverbs 11:7Wakati mtu mwovu anapokufa, matumaini yake hutoweka; 2 yote aliyoyatazamia kutokana na nguvu zake huwa si kitu. 1

Isaiah 65:20“Kamwe hatakuwepo tena ndani yake 2 mtoto mchanga atakayeishi siku chache tu, 2 au mzee ambaye hataishi akatimiza miaka yake. 1 Yeye atakayekufa akiwa na umri wa miaka mia moja 2 atahesabiwa kwamba ni kijana tu, 1 yeye ambaye hatafika miaka mia moja, 2 atahesabiwa kuwa amelaaniwa. 1

Matthew 23:39Kwa maana nawaambia, hamtaniona tena tangu sasa mpaka mtakaposema, ‘Amebarikiwa yeye ajaye kwa Jina la Bwana.’ ”

Matthew 25:41“Kisha atawaambia wale walio upande wake wa kushoto, ‘Ondokeni kwangu, ninyi mliolaaniwa, nendeni kwenye moto wa milele ulioandaliwa kwa ajili ya ibilisi na malaika zake.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study John 8:21

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← John 8:20John 8John 8:22 →