John 8:27
Hawakuelewa kuwa alikuwa akiwaambia juu ya Baba yake wa Mbinguni.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
They understood not that he spake to them of the Father.
In Context
Cross References
Isaiah 6:9Akasema, “Nenda ukawaambie watu hawa: 1 “ ‘Mtaendelea daima kusikiliza, 2 lakini kamwe hamtaelewa; 1 mtaendelea daima kutazama, 2 lakini kamwe hamtatambua.’ 1
Isaiah 59:10Tunapapasa ukuta kama kipofu, 2 tunapapasa katika njia zetu kama watu wasio na macho. 1 Adhuhuri tunajikwaa kama wakati wa gizagiza; 2 katikati ya wenye nguvu, tuko kama wafu. 1
John 8:47Yeye atokaye kwa Mungu husikia kile Mungu asemacho. Sababu ya ninyi kutosikia ni kwa kuwa hamtokani na Mungu.” 1 Maelezo Ya Yesu Kuhusu Yeye Mwenyewe
2 Corinthians 4:3Hata nayo Injili yetu kama imetiwa utaji, ni kwa wale tu wanaopotea.