John 8:4
Wakamwambia Yesu, “Mwalimu, huyu mwanamke amekutwa akizini.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
They say unto him, Master, this woman was taken in adultery, in the very act.
In Context
Cross References
Deuteronomy 22:22Ikiwa mwanaume atakutwa akizini na mke wa mtu mwingine, wote wawili, mwanaume na mwanamke aliyezini naye, lazima wauawe. Lazima mwondoe uovu katika Israeli.
Matthew 1:19Kwa kuwa Yosefu, mwanaume aliyekuwa amemposa alikuwa mtu mwadilifu, hakutaka kumwaibisha Maria hadharani, aliazimu kumwacha kwa siri.