John 8:40
Lakini sasa ninyi mnatafuta kuniua, mtu ambaye nimewaambia kweli ile niliyosikia kutoka kwa Mungu, Abrahamu hakufanya jambo la namna hii.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 37:12Waovu hula njama dhidi ya wenye haki 2 na kuwasagia meno, 1
John 8:26Nina mambo mengi ya kusema juu yenu na mengi ya kuwahukumu. Lakini yeye aliyenituma ni wa kweli, nami nanena na ulimwengu niliyoyasikia kutoka kwake.”
John 8:56Baba yenu Abrahamu alishangilia kwamba angaliiona siku yangu, naye akaiona na akafurahi.”
Galatians 4:16Je, sasa nimekuwa adui yenu kwa kuwaambia kweli?
1 John 3:12Msiwe kama Kaini aliyekuwa wa yule mwovu akamuua ndugu yake. Basi kwa nini alimuua? Ni kwa sababu matendo yake Kaini yalikuwa mabaya na ya ndugu yake yalikuwa ya haki.
Revelation 12:12Kwa hiyo, furahini ninyi mbingu 2 na wote wakaao humo! 1 Lakini ole wenu nchi na bahari, 2 kwa maana huyo ibilisi ameshuka kwenu, 1 akiwa amejaa ghadhabu, 2 kwa sababu anajua ya kuwa 2 muda wake ni mfupi!”