John 8:49
Yesu akawajibu, “Mimi sina pepo mchafu, bali ninamheshimu Baba yangu, nanyi mnanidharau.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Jesus answered, I have not a devil; but I honour my Father, and ye do dishonour me.
In Context
50Lakini mimi sitafuti utukufu wangu mwenyewe, bali yuko anayetaka kunitukuza, naye ndiye mwamuzi.
Cross References
Proverbs 26:4Usimjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake, 2 ama wewe mwenyewe utakuwa kama yeye. 1
Isaiah 49:3Akaniambia, “Wewe u mtumishi wangu, 2 Israeli, ambaye katika yeye 2 nitaonyesha utukufu wangu.” 1
John 8:29Yeye aliyenituma yu pamoja nami, hajaniacha, kwa kuwa siku zote nafanya mapenzi yake.’ ”
John 12:28Baba, litukuze jina lako.” Ndipo ikaja sauti kutoka mbinguni, “Nimelitukuza, nami nitalitukuza tena.”
John 14:13Nanyi mkiomba lolote kwa Jina langu, hilo nitalifanya, ili Baba apate kutukuzwa katika Mwana.
Philippians 2:6Yeye, ingawa alikuwa na asili ya Mungu hasa, 2 hakuona kule kuwa sawa na Mungu 2 kuwa kitu cha kushikilia, 1