John 8:52
Ndipo Wayahudi wakamwambia, “Sasa tumejua kwamba una pepo mchafu. Ikiwa Abrahamu alikufa na vivyo hivyo manabii, nawe unasema ‘Mtu akitii neno langu hatakufa milele.’
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
51Amin, amin nawaambia, mtu yeyote akilitii neno langu hataona mauti milele.”
Cross References
Zechariah 1:5Wako wapi baba zako sasa? Nao manabii, je, wanaishi milele?
John 8:51Amin, amin nawaambia, mtu yeyote akilitii neno langu hataona mauti milele.”
Hebrews 2:9Lakini twamwona Yesu, aliyefanywa chini kidogo kuliko malaika, sasa akiwa amevikwa taji ya utukufu na heshima kwa sababu alistahimili mauti, ili kwamba kwa neema ya Mungu apate kuonja mauti kwa ajili ya kila mtu.