John 9:36
Yule mtu akamjibu, “Yeye ni nani, Bwana? Niambie ili nipate kumwamini.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
He answered and said, Who is he, Lord, that I might believe on him?
In Context
37Yesu akamjibu, “Umekwisha kumwona, naye anayezungumza nawe, ndiye.”
Cross References
Proverbs 30:3Sijajifunza hekima, 2 wala sina maarifa ya kumjua yeye Aliye Mtakatifu. 1
Matthew 11:3ili wakamuulize, “Wewe ndiye yule aliyekuwa aje, au tumngojee mwingine?”
Romans 10:14Lakini watamwitaje yeye ambaye hawajamwamini? Nao watawezaje kumwamini yeye ambaye hawajamsikia? Tena watamsikiaje bila mtu kuwahubiria?