Jonah 1:1
Neno la Bwana lilimjia Yona mwana wa Amitai:
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Now the word of the LORD came unto Jonah the son of Amittai, saying,
In Context
Cross References
Jonah 3:1Ndipo neno la Bwana likamjia Yona mara ya pili:
Matthew 16:4Kizazi kiovu na cha uzinzi kinatafuta ishara, lakini hakitapewa ishara yoyote isipokuwa ishara ya Yona.” Yesu akawaacha, akaenda zake. 1 Chachu Ya Mafarisayo Na Masadukayo (Marko 8:14-21)
Luke 11:32Siku ya hukumu, watu wa Ninawi watasimama pamoja na kizazi hiki na kukihukumu; kwa maana wao walitubu waliposikia mahubiri ya Yona. Na tazama, hapa yupo yeye aliye mkuu kuliko Yona. 1 Taa Ya Mwili (Mathayo 5:15; 6:22-23)