Jonah 3:2
“Ondoka uende katika mji mkubwa wa Ninawi, ukautangazie ujumbe ninaokupa.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Arise, go unto Nineveh, that great city, and preach unto it the preaching that I bid thee.
In Context
1Ndipo neno la Bwana likamjia Yona mara ya pili:
Cross References
Exodus 4:28Kisha Mose akamwambia Aroni kila kitu Bwana alichomtuma kusema, vilevile habari za ishara na maajabu alizokuwa amemwamuru kufanya.
Jeremiah 1:7Lakini Bwana akaniambia, “Usiseme, ‘Mimi ni mtoto mdogo tu.’ Utaenda popote nitakapokutuma na kunena lolote nitakalokuagiza.
Jeremiah 15:19Kwa hiyo hili ndilo asemalo Bwana: 1 “Kama ukitubu, nitakurejeza 2 ili uweze kunitumikia; 1 kama ukinena maneno yenye maana, 2 wala si ya upuzi, 2 utakuwa mnenaji wangu. 1 Watu hawa ndio watakaokugeukia, 2 wala si wewe utakayewageukia wao. 1
Ezekiel 3:17“Mwanadamu, nimekufanya uwe mlinzi wa nyumba ya Israeli, kwa hiyo sikia neno nisemalo, ukawape onyo litokalo kwangu.
Jonah 3:3Yona akalitii neno la Bwana naye akaenda Ninawi. Basi Ninawi ulikuwa mji maarufu sana, ilichukua siku tatu kuuzunguka.
Matthew 3:8Basi zaeni matunda yastahiliyo toba.