Jonah 4:5
Yona akatoka nje akaketi mahali upande wa mashariki wa mji. Hapo akajitengenezea kibanda, akaketi kwenye kivuli chake na kungojea ni nini kitakachotokea katika mji.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
4Lakini Bwana akamjibu, “Je unayo haki yoyote kukasirika?”
Cross References
Genesis 19:27Asubuhi na mapema siku iliyofuata, Abrahamu akaamka na kurudi mahali pale aliposimama mbele za Bwana.
1 Kings 19:13Eliya alipoisikia, akafunika uso kwa vazi lake, akatoka na kusimama kwenye mdomo wa pango. Kisha ile sauti ikamwambia, “Eliya, unafanya nini hapa?”
Jeremiah 17:15Wao huendelea kuniambia, 2 “Liko wapi neno la Bwana? 2 Sasa na litimie!” 1
Jonah 1:5Mabaharia wote waliogopa na kila mmoja akamlilia mungu wake mwenyewe. Nao wakatupa mizigo baharini ili meli ipungue uzito. Lakini Yona alikuwa ameteremkia chumba cha ndani ya meli, mahali ambapo alilala na kupatwa na usingizi mzito.