Joshua 13:2
“Nchi iliyosalia ni hii: maeneo yote ya Wafilisti na Wageshuri:
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
This is the land that yet remaineth: all the borders of the Philistines, and all Geshuri,
In Context
Cross References
Genesis 26:1Basi njaa kubwa ikawa katika nchi hiyo, kuliko ile njaa iliyotangulia iliyotokea wakati wa Abrahamu. Isaki akamwendea Abimeleki mfalme wa Wafilisti huko Gerari.
Deuteronomy 11:23ndipo Bwana atawafukuza mataifa haya yote mbele yako, nawe utawafukuza mataifa yaliyo makubwa na yenye nguvu kukuliko wewe.
Joshua 13:11Vilevile ilijumlisha Gileadi, eneo la Wageshuri na Wamaaka, mlima wote wa Hermoni na Bashani yote ikienea hadi Saleka:
Judges 3:1Haya ndiyo mataifa Bwana aliyoyaacha ili kuwajaribu Waisraeli wote ambao hawakujua vita vyovyote vya Kanaani
2 Samuel 3:3mzaliwa wake wa pili alikuwa Danieli + 3:3 Jina lingine lake ni Kileabu. mwana wa Abigaili, mjane wa Nabali wa Karmeli; 2 wa tatu, Absalomu mwana wa Maaka, binti Talmai mfalme wa Geshuri; 2
2 Samuel 15:8Wakati mtumishi wako alipokuwa huko Geshuri katika nchi ya Aramu, niliweka nadhiri hii, ‘Ikiwa Bwana atanirudisha Yerusalemu, nitamwabudu Bwana huko Hebroni.’ ”