bible.software › Joshua › Joshua 13 › Joshua 13:28
Joshua 13:28
Miji hii na vijiji vyake ilikuwa urithi wa kabila la Gadi ukoo kwa ukoo.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
This is the inheritance of the children of Gad after their families, the cities, and their villages.
In Context
27na katika bonde, Beth-Haramu, Beth-Nimra, Sukothi na Safoni na sehemu iliyobaki ya eneo la utawala wa Sihoni mfalme wa Heshboni (upande wa mashariki mwa Mto Yordani, eneo inayoishia kwenye Bahari ya Kinerethi + 13:27 Yaani Bahari ya Galilaya.).
29Haya ndiyo maeneo ambayo Mose alikuwa amewapa hiyo nusu ya kabila la Manase, yaani kwa nusu ya jamaa ya uzao wa Manase, ukoo kwa ukoo:
Read all of Joshua 13
Cross References
1 Chronicles 5:16Wagadi waliishi Gileadi, huko Bashani pamoja na vijiji vilivyoizunguka, pia katika nchi yote ya malisho ya Sharoni kote walikoenea.
This Verse In Other Editions
Study Joshua 13:28