Joshua 15:21
Miji ya kusini kabisa ya kabila la Yuda katika Negebu kuelekea mpaka wa Edomu ilikuwa: 1 Kabseeli, Ederi, Yaguri,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
20Huu ndio urithi wa kabila la Yuda, ukoo kwa ukoo:
Cross References
Joshua 19:1Kura ya pili ikaangukia kabila la Simeoni, ukoo kwa ukoo. Urithi wao ulikuwa ndani ya eneo la Yuda.
1 Chronicles 4:28Waliishi Beer-Sheba, Molada, Hasar-Shuali,